MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,879
Hyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.
Njoo na data kusapoti hio kozi yako acheni kumpoteza mtu
Dogo unaeomba ushauri Kama unasoma hapa hii sio ile lab ya afya ya binadamu in short sio kozi ya afya kama umejihaminisha hivyo
Yani mpaka sasa ujui hzo kozi mtu anasoma awe Nani?
Na cha kuongezea tu nikwamba hizo kozi zina soko la ajira na unaweza jiajiri most nlizozitaja
Na nikwambie tu ndio kilimo kinalipa wengi tulio graduate nao waliosoma hzo kozi
-maafisa kilimo
-afisa misitu
Wapo vzur
Halafu Nani kakwambia bvm wanachukua hzo point zake labda ulisoma bvm ya enzi hzo
Embu jaribu kuuliza wadogo zako au ndugu na jamaa uliowaacha hapo chuo point zake wakwambie