Msaada jinsi ya kupata TIN Number

complexi

Member
Jul 6, 2021
67
82
Habari wana JF, matumaini yangu wote ni wazima na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa nchi na kujipatia kipato pia.

Kama kichwa kijielezavyo naomba msaada wenu kwa anaefahamu process za kupata TIN Number, i mean gharama na vitu ambavyo nahitajika kuwa navyo, maana ninampango wa kutafuta iyo namba lakini sieelewi pakuanzia .

Naombeni msaada wenu.
 
Na nawezaje kubadilisha TIN namba isiyo ya kibiashara kwenda TIN ya kibiashara...?

Je,TIN namba niliyokatia nikiwa Dar naweza nikaitumia mkoa mwengine kibiashara?
 
Back
Top Bottom