Naombeni msaada wa kujua Technical requirement na vifaa Vyote vinavyoitajika nikiwa Nataka kufungua kituo cha Radio FM.

Hujasema redio inayoweza ku cover eneo lenye ukubwa gani, wilaya, mkoa au mikoa kadhaa
 
Nahitaji mtu anayejua kuhusu uanzishwaji wa radio ya FM inayobroadcast kwenye mkoa mmoja anisaidie ni vitu gani vinahitajika apart from kwenda TCRA,ni vitu gani vinahitajika mpaka operation ianze? Vitu gani vya kuzingatia? Na kama unakuja na bei utakuwa umenisaidia sana
 
Kwa station ya mkoa mmoja gharama ni kama 60m
 
Back
Top Bottom