Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,080
Una mtaji mdogoMsaaada kufungua kituo cha fm radio.Mtaji unakadiriwa kiasi gani?
milioni 70 inatosha au niendelee kujipanga?
Wewe unataka kufungua mkoa gani?Thank you very much!
Umenifungua macho,ngoja nijipange!
samahani mkuu, hio package ya 25m in coverage gani?Mh! Mh! National coverage?
Ndugu dunia imebadilika sana na mambo yamebailika sana. Hizi quotes za mwaka 2014 zimepitwa na wakati kabisaaaa. Kwa msaada zaidi mawasiliano:- consultancy@radiotz.comsamahani mkuu, hio package ya 25m in coverage gani?
Mzee usinisahau katika ajira mkuu maana ndio kimbilio letu ukoWadau naomba mnisaidie mchakato wa kufungua commercial FM Radio. Na hasa gharama ZAKE upande wa Kodi na mchakato mzima. Na pia mnisaidie kama ni lazima nijenge mnara wangu je hakuna wa kukodi?
Nitafute PM nikupe breakdown na profoma invoice ya vifaa.Wadau naomba mnisaidie mchakato wa kufungua commercial FM Radio. Na hasa gharama ZAKE upande wa Kodi na mchakato mzima. Na pia mnisaidie kama ni lazima nijenge mnara wangu je hakuna wa kukodi?