Samahan mkuu kuuliza si ujinga vp unatumiaje hy android tv box unajaza vocha km kawaida kisha unaanza kutumia auAndroid tv box zinakuhusu zipo nyingi ni wewe tu mfano Amazon fire tv stick,Xiaomi,easytone nk
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Ndio kama wifiSamahan mkuu kuuliza si ujinga vp unatumiaje hy android tv box unajaza vocha km kawaida kisha unaanza kutumia au
Kwa jinsi bando lilivyopanda sibora kuwa na kingamuzi tuPia apps za mpira mpira unaziinstall kwenye hy tv box
Inategemea na matumizi yk mfano kwa week unacheki game hata 5 ni sawa na gb 2×5=10gbKwa jinsi bando lilivyopanda sibora kuwa na kingamuzi tu
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Zinaanziaga elfu 60Hizo android TV box, zinaenda kwa tshs ngapi?
Ndio HDMIKuna waya unaziunganisha kwenye tv za kawaida
Kwenye bei uwe makini, takataka nazo zipo nyingi sokoni...Hizo android TV box, zinaenda kwa tshs ngapi?