mamylove
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 1,052
- 1,702
Iliki ni antibiotic ina inhibit fungus, maandazi yatasogeza siku kidogo pia yatanukia.
pole sanamamylove jana nimejaribu kuaandaa maandazi ya kula mimi mwenyewe hapa nyumbani, ila nilishindwa.
Andazi jinsi lilivyokuwa hadi nashindwa kueleza, yaani ugali siyo ugali, jojo siyo jojo, balaa tupu.
nilipoteza muda wangu bure!
yalinishinda kwa kweli!
Niliwatupia Nguruwe wayale!
Nimesha poa mkuu!pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
mamylove jana nimejaribu kuaandaa maandazi ya kula mimi mwenyewe hapa nyumbani, ila nilishindwa.
Andazi jinsi lilivyokuwa hadi nashindwa kueleza, yaani ugali siyo ugali, jojo siyo jojo, balaa tupu.
nilipoteza muda wangu bure!
yalinishinda kwa kweli!
Niliwatupia Nguruwe wayale!
duu pole hebu tafuta thread humu zipo za kupika maandazi me nimejifunza humuhumu mpaka mkate natoamamylove jana nimejaribu kuaandaa maandazi ya kula mimi mwenyewe hapa nyumbani, ila nilishindwa.
Andazi jinsi lilivyokuwa hadi nashindwa kueleza, yaani ugali siyo ugali, jojo siyo jojo, balaa tupu.
nilipoteza muda wangu bure!
yalinishinda kwa kweli!
Niliwatupia Nguruwe wayale!
duu pole hebu tafuta thread humu zipo za kupika maandazi me nimejifunza humuhumu mpaka mkate natoa
Sent using Jamii Forums mobile app