Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

Njia zote zinatumika mkuu,
Wapo wanaotumia meli na wanaotumia ndege.

Inategemea
1.Una uharaka kiasi gani na mzigo
2.Faida ya mzigo ikoje
Kwasababu ndege ni gharama kubwa.
Makadirio kwenye ndege nikama Bei Gani ukilinganisha na kwenye melii
 
Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko.

Nahitaji kujua vp nami naweza kuwa msambazaji yan nikauziwa kwa bei ya kiwandani utaratibu ukoje.Hapa namaanisha wauzaji wa kkoo mnaagizaje au mnapatiwaje mzigo kwa bei ya kiwandani.

Inapendeza nikijua bei zinakuwaje na kiwango cha chini kuagiza (Moq). Hawa Miamba huko alibaba hawapo kabisa so naamini labda kuna connection kila nchi. Mtaji sio tatizo uzuri tu ninunue nami niuze jumlajumla. Eti nilisikia huwa izi simu zinaagizwa kwa kilo sasa sijui huwa ikoje hiii namii wanadau na wajuzi wa hizi kazi mtatoa asali tunufaike.

Tizama bei ya jumla kkoo mwezi wa 10 2020 kwenye duka fulani hapo chimbo (sema wajomba hawatoi connection kabisa) mana wanajua watampoteza mteja wao sijui
It2160..18500
It2171..19000
It2173..19000
It5081..27000
T528..40000
T454..32000
T301..20000
T313...25000
T351...26000
SWALI NI JE IZO SIMU HAPO JUU NA ZINGINEZO NAPATAJE NA ZAUZWAJE KWA BEI YA CHINA AU AGENT WA TZ
View attachment 1632331
PHOTO BY MTANDAO
Habar ndg
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu nimeamua kuanzia tu kwa magenti kabla sijaenda huko china.Naamini nikipata uzoefu nitajua na mchina mwenyewe.
 
Back
Top Bottom