Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Naombeni msaada hiyo ni picha ya king'amuzi chenyewe
Ni kweli mkuu hakina usb ila nimesikia kuwa wajuzi wanaedit na kugeuza uelekeo wa dish na kupata channel za ting na continental.Hicho king'amuzi si cha promotion? (Hakina sehemu ya kuweka USB)
Kwenye setting zake hakuna sehemu ya kuongeza wala kupunguza chochote hao jamaa watakuwa wanafanya kitu ndani yakeNi kweli mkuu hakina usb ila nimesikia kuwa wajuzi wanaedit na kugeuza uelekeo wa dish na kupata channel za ting na continental.
Inaweza kuwa hivyo mkuu.Kwenye setting zake hakuna sehemu ya kuongeza wala kupunguza chochote hao jamaa watakuwa wanafanya kitu ndani yake
Asante mkuu kwa ushauri ngoja nitafute hicho king'amuzi cha strong nijaribu hilo zoeziChukuwa kingamuzi kingine kama Strong set dish lako vizuri upate hizo Ting na Continental ukisha funga dish lako signal iko vizuri. chomoa waya wako chomeka kwenye hicho kingamuzi za zuku alafu nenda kwenye setting fanya kusearch upya. ila ni vizuri uka restore to default ili kifute channel zote za zuku ili unapo scan ziingie mpya hizo za Ting na Continental. ukiweza lete mrejesho hapa mkuu
Mkuu shukrani sana njia yako imenisaidia nimefanikiwa asante sanaChukuwa kingamuzi kingine kama Strong set dish lako vizuri upate hizo Ting na Continental ukisha funga dish lako signal iko vizuri. chomoa waya wako chomeka kwenye hicho kingamuzi za zuku alafu nenda kwenye setting fanya kusearch upya. ila ni vizuri uka restore to default ili kifute channel zote za zuku ili unapo scan ziingie mpya hizo za Ting na Continental. ukiweza lete mrejesho hapa mkuu
Boss umepata channel zipi na zipi?Mkuu shukrani sana njia yako imenisaidia nimefanikiwa asante sana
Nimepata tbc1,itv, star tv, clouds, east,wasafi,press tv, algezira, emanuel nk. Sante kwa msaada wakoBoss umepata channel zipi na zipi?
Nipe njia baada ya kupata kisimbusi kingine ulifanyajeNimepata tbc1,itv, star tv, clouds, east,wasafi,press tv, algezira, emanuel nk. Sante kwa msaada wako
Aaaah! Mkuu tupe ujuziMwaka wa 2 sasa sijawahi kulipia
Nina azam na zukuUna kisembusi chochote cha HD?
Mwaka wa 2 sasa sijawahi kulipia
Nilipopata king'amuzi nikaingiza nikaichagua setelite ya ses5 na kuingiza frequency za ting na kisha nikatafuta signal nilipopata nikaleta king'amuzi cha zuku na kukiunganisha kisha nikascan zikaingia zenyeweNipe njia baada ya kupata kisimbusi kingine ulifanyaje
Nipe frequency za ting bossNilipopata king'amuzi nikaingiza nikaichagua setelite ya ses5 na kuingiza frequency za ting na kisha nikatafuta signal nilipopata nikaleta king'amuzi cha zuku na kukiunganisha kisha nikascan zikaingia zenyewe
Boss nimejaribu kwa kutumia kisimbusi cha azam na kuhamishia zuku nimeshindwa kabisa!Nilipopata king'amuzi nikaingiza nikaichagua setelite ya ses5 na kuingiza frequency za ting na kisha nikatafuta signal nilipopata nikaleta king'amuzi cha zuku na kukiunganisha kisha nikascan zikaingia zenyewe
Mkuu umepoteaUna kisembusi chochote cha HD?
Njia hiyo hiyo unaweza kutumia kuscan satellite nyingine yoyote yenye channels zilizopo free na ukazipata vizuri kabisa.Mkuu shukrani sana njia yako imenisaidia nimefanikiwa asante sana