Msaada jinsi ya kuadd au edit transponder kwenye king'amuzi cha zuku

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,034
1,003
1543908285882-1404323235.jpg

Naombeni msaada hiyo ni picha ya king'amuzi chenyewe
 
Ni kweli mkuu hakina usb ila nimesikia kuwa wajuzi wanaedit na kugeuza uelekeo wa dish na kupata channel za ting na continental.
Kwenye setting zake hakuna sehemu ya kuongeza wala kupunguza chochote hao jamaa watakuwa wanafanya kitu ndani yake
 
Chukuwa kingamuzi kingine kama Strong set dish lako vizuri upate hizo Ting na Continental ukisha funga dish lako signal iko vizuri. chomoa waya wako chomeka kwenye hicho kingamuzi za zuku alafu nenda kwenye setting fanya kusearch upya. ila ni vizuri uka restore to default ili kifute channel zote za zuku ili unapo scan ziingie mpya hizo za Ting na Continental. ukiweza lete mrejesho hapa mkuu
 
Asante mkuu kwa ushauri ngoja nitafute hicho king'amuzi cha strong nijaribu hilo zoezi
 
Chukuwa kingamuzi kingine kama Strong set dish lako vizuri upate hizo Ting na Continental ukisha funga dish lako signal iko vizuri. chomoa waya wako chomeka kwenye hicho kingamuzi za zuku alafu nenda kwenye setting fanya kusearch upya. ila ni vizuri uka restore to default ili kifute channel zote za zuku ili unapo scan ziingie mpya hizo za Ting na Continental. ukiweza lete mrejesho hapa mkuu
Mkuu shukrani sana njia yako imenisaidia nimefanikiwa asante sana
 
Nilipopata king'amuzi nikaingiza nikaichagua setelite ya ses5 na kuingiza frequency za ting na kisha nikatafuta signal nilipopata nikaleta king'amuzi cha zuku na kukiunganisha kisha nikascan zikaingia zenyewe
Boss nimejaribu kwa kutumia kisimbusi cha azam na kuhamishia zuku nimeshindwa kabisa!
Unaweza kuniwekea procedure ya kwa za hadi ya mwisho?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom