Msaada, wanatibitisha vipi ?Wakuu mimi niliomba vyuo viwili saut(bachelor of arts in economics)na IAA(bachelor of economics and finance)sasa IAA walichelewa kunitumia taarifa km nimechaguliwa nikawa tayari nimecomfirm saut sasa kila nikiuncomfirm inakataa je tatizo ni nini.
ile code uliotumia kuConfirm..itumie katika kuUnconfirm kwenye chuo husika
Mi najua hicho..au ikishindikana piga simu tcu au chuo husika uwapangeIna kubari kweli ??