Msaada:Jinsi ya 'ku-skip" device verification kwenye Euro Truck Sim 2(android)

The Boldly

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,313
2,000
Wakuu,

Naomba kwa mwenye uelewa wa jinsi ya kuskip ule ujumbe wa "device verification" kwenye game la euro truck simulator 2 kwenye simu
 

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
22,584
2,000
Hakuna game ets2 la kwenye simu mkuu, km unataka game la truck la kwenye simu download game inaitwa gts2 iko vzr kwa simu angalau kidogo utajikuta na wewe una drive ets2.
 

The best 007

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
22,584
2,000
Naomba link
Screenshot_20210722-073808.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom