Msaada: Jinsi ya ku install SIM card kwenye mini Toshiba NB 500

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,734
17,945
Salaam wakuu

Husika na mada tajwa. Naomba msaada kwa hili. Nimehangaika tangu asubuhi na nime Google bila mafanikio mbaya zaidi nimeshaunga bundle kwaajili ya kutumia kwenye hii laptop

Ahsante
 
ina internal modem?

Laptop nyingi zenye SIM slot huwa zinatolewa modem kwa ndani hasa kama ni ya mtumba.

Tumia modem ya nje kupata mtandao au WiFi

Usipoteze muda na hiyo slot ya kuwekea line
 
ina internal modem?

Laptop nyingi zenye SIM slot huwa zinatolewa modem kwa ndani hasa kama ni ya mtumba.

Tumia modem ya nje kupata mtandao au WiFi

Usipoteze muda na hiyo slot ya kuwekea line
Hivi kwanini huwa wanazichomoa hizo componeñt?
 
Hivi kwanini huwa wanazichomoa hizo componeñt?

Nafikir huwa zinasajiliwa kwa matumiz ya mtu binafsi. ukizingatia kunakuwa na IMEI na Mac Address. So wanatao zisije tumika ndivyo sivyo halafu mmiliki akawa reliable. lakini ukizitafuta izo modem Ebay unapata unaiweka na PC inapiga kazi kama kawaida Japo nyingi ni za 3G tuuu
 
Back
Top Bottom