Jinsi ya ku-download game za PSP emulator au emuparadise

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mwenye ufahamu juu ya hili nahitaji ku-download FIFA 2016 au 2017
 
Mkuu search tu kwenye google psp isos kwa mfano, fifa 16 psp iso utapata link na utaifollow nakwenda kudownload
 
seems kama emuparadise ipo down, wiki kadhaa sasa siipati, kila game wanasema unavailable.

inategemea na game unalotaka, links zipo nyingi. kuna nicoblog ana collection kubwa ya rpg, kuna romhustler, coolrom, freerom etc
 
Hebu nidadavulie game Kali katika hayo majina
 
Back
Top Bottom