Msaada jinsi ya ku-configure PDproxy

Kakakuona

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
345
198
Wadau naomba kujuza jinsi ya Ku-cofigure hii PD proxy hili nipate access ya internet free.

Natanguliza shukrani...:A S tongue:
 
PD proxy si bure kabisa...ina vocha zake na wauzaji wa hizo vocha wapo huku...watakuuzia na kukuambia cha kufanya...kama tayari una vocha hapo sawa.....wasiliana na munjy1 au @Njuwamavoko
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom