Msaada jinsi kujua kuongea na kuandika kiingereza kwa ufasaha

natra

Member
Sep 27, 2017
12
4
Habari zenu wana jamvi naomba msaada kwa anaeweza kunipa njia za kujua vizuri kiingereza kwa njia za kusoma online .Muhimu nahitaji sana kujua kiingereza kusoma, kuongea na kuandika..asanteni
 
Kama una bundle za kutosha ingia youtube andika tu English lessons utapata masomo ya kila level. Pia penda kusoma vitabu na kusikiliza radio za kiingereza, movie pia zinasaidia
 
Habari zenu wana jamvi naomb msaada kwa anaeweza kunipa njia za kujua vizuri kiingeleza kwa njia za kusoma online .muhim nahitaji sana kujuwa kiingereza kusoma kuongea na kuandika..asanteni
Kwa unayeanza kujifunza tHL app, itakusaidia zaidi, inafundisha vizuri sana.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. https://play.google.com/store/apps/details?id=com.twiga.eschool&hl=en 2. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo.
 
Back
Top Bottom