Msaada. Jinsi gani nitajua kua email imeandikwa kutoka nchi fulani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada. Jinsi gani nitajua kua email imeandikwa kutoka nchi fulani?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lateni, Oct 6, 2012.

 1. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wadau,
  Naombeni mnisaidie ni jinsi gani nitagundua kua email niliyotumiwa ilitumwa kutokea nchi fulani, eg, DRC au ufaransa.

  Asanteni
   
 2. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Jamani , mbona mmenichunia?
   
 3. Mwantela92

  Mwantela92 Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  M mwenyew hua nashangaa hua cpew msaada ina maana jf hakuna wa2
   
 4. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Yaani niko nakodoa macho kusubiria pengine kuna mtu anajibu, labda wako busy na mishe za weekend watakuja badae, acha niendelee kuwasubiria.
   
 5. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwanza reply hiyo e-mail, halafu kwenye hiyo mail uliyotuma (reply) kwa chini kabisa utaona IP address ya huyo uliyemtumia, copy hiyo IP address and then paste kwenye google IP translator, utakuwa umemaliza kazi
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Umaweza ukajaribu kuangalia ip address kwenye header, lakini hii haina uhakika wowote maana service nyingi za email haziweki ip ya mtumaji ili kulinda privacy yake. Kwa kifupi hakuna njia ya uhakika ya kujua imetoka wapi.
   
Loading...