Msaada: Jinsi gani ninaweza kurekodi whatsapp video call?

babkaju3

Senior Member
Mar 9, 2015
118
92
Habari za mchana wana Jamii naomba kufahamu jinsi au ni app gani inayo weza nikipiga video call watsap nimeze kumrecod au nikipigiwa.

Asanteni nategemea kupata ushirikiano wa kutosha
 
Habari za mchana wana Jamii naomba kufahamu jinsi au ni app gani inayo weza nikipiga video call watsap nimeze kumrecod au nikipigiwa Asanteni nategemea kupata ushirikiano wa kutosha

Tumia Screen recorder/ Screen video capture
 
Habari za mchana wana Jamii naomba kufahamu jinsi au ni app gani inayo weza nikipiga video call watsap nimeze kumrecod au nikipigiwa Asanteni nategemea kupata ushirikiano wa kutosha
Tumia Apowersoft screen recorer before hujapiga unaiswitch on. Iko play store.

Au kama kuna builtin screen recorder unaweza tumia.

NB: Sijawahi jaribu nimejaribu tu kutoa maoni. Sijui kama inawezekana, huenda ikawa inarestrict.!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom