msaada jins ya kubadili jina la acount yang

eric emanuel

Member
Jan 9, 2017
11
45
masaada plz,kwa kipindi kirefu nimekua nikitumia jina lisilo langu kwenye JF kwa sababu nilifunguliwa ACOUNT na mtu mwingine ambae aliandika jina lake,sasa imefika wakati nataka kutumia jina langu nifanyjee? anaejua jins ya kubadilisha jina kwenye acount ya jamii forum anisaidie coz nimekwamaaa
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,952
2,000
Mkuu Kwanza Kwasasa Haya Ndiyo Majina
Bashite
Koromije
.........
Mwandikie PM Mkuu Invisible Kumuomba Ubadilishiwe Jina Kutoka Jina Lako La Sasa Hadi Jina Jipya .......Unalitaja
Baadaye Kidogo Unajibiwa Kuwa Maombi Yako Yamefanikiwa

Hata Ukitaka Access Ya Kuingia Majukwaa Yaliyozuiliwa Kwako Andika Maombi Kwa Invisible Ni Haraka Sana Acha Kuchelewa Sasa
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,509
2,000
c57b0426adf44bff3c19049059d9fbe2.gif
 
Newmoney

Member
May 1, 2015
17
45
Mkuu Kwanza Kwasasa Haya Ndiyo Majina
Bashite
Koromije
.........
Mwandikie PM Mkuu Invisible Kumuomba Ubadilishiwe Jina Kutoka Jina Lako La Sasa Hadi Jina Jipya .......Unalitaja
Baadaye Kidogo Unajibiwa Kuwa Maombi Yako Yamefanikiwa

Hata Ukitaka Access Ya Kuingia Majukwaa Yaliyozuiliwa Kwako Andika Maombi Kwa Invisible Ni Haraka Sana Acha Kuchelewa Sasa
Hata mm nataka nibaduli... uyo invisible anapatikana wapi?
 
xav bero

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
5,138

Ha ha ha majina yanayotrend town bashite,koromije habhabha umeua
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
32,952
2,000
Hata mm nataka nibaduli... uyo invisible anapatikana wapi?
Mkuu Kuhusu Invisible Ni Kiongozi Wa Jamiiforums Hivyo Kama Zilivyo Ofisi Zote Lazima Umwandikie Private Massage (PM)
Anapatika Muda Wote Hapa Jf

Tafuta Thread Yoyote Ambazo Zimeanzishwa Naye Huwa Zipo Juu Ya Kila Juu Basi Unamtumia Hiyo PM Anakujibu Haraka

Hakikisha Unataja Jina Unalotaka Kutumia

Mfano Mimi Koromije Naomba Kubadili Username Hiyo Kuwa Bashite
Unahudumiwa Haraka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom