Msaada: Jiko la gesi limekaa muda mrefu

iron woman

Senior Member
Apr 22, 2013
147
19
Habari zenu chefs,

Naomba kujua nifanyaje jiko la gas la plates lilikaa muda bila kutumika. Sasa zile switch za kuwashia hazizunguki hivyo siwezi kuwasha. Naomba kujua nifanyaje ili lizunguke?

Kwa yeyote mwenye utaalamu hapo.

Asante.
 
Weka kilainishi chochote kama mafuta hasa kwa nyumbani nyunyizia mafuta taa ili kulainisha izo kutu kutu pia unaweza kutumia mafuta ya cherehani

Naamini itadaidia
 
Asante ila mafuta nayaweka kwa wapi naona kotekumefungwa
Weka kilainishi chochote kama mafuta hasa kwa nyumbani nyunyizia mafuta taa ili kulainisha izo kutu kutu pia unaweza kutumia mafuta ya cherehani

Naamini itadaidia
 
Back
Top Bottom