msaada jf dawa ya mba wa usoni na kichwani kwa mwanaume

Maradhi ya Mba Hutokana na ngozi iliyokufa katika kichwa yaani dead cell.
dawa zilizopo ni :

Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga jisugue limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.

Fenugreek kwa kiswahili inaitwa (Uwatu) lakini imekaa kama rangi yake ni ya brown imekaa kama Vijiwe jiwe vidogodogo kama kuna Hii Uwatu unachukua vijiko 2 vya chai vya fenugreek unazirowesha katika maji usiku

mzima ili zipate kulainika, halafu unaziponda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila taabu yoyote.tumia moja ya hizo Dawa kisha uje hapa utupe Feedback.@
aunt mtu

707px-Fenugreek-methi-seeds.jpg

Fenugreek Uwatu.
 
Back
Top Bottom