Irene marwa
Member
- Jul 25, 2020
- 35
- 36
Msaada, maana hata sielewi maana matiti yangu yameongezeka na yanauma pia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi sana, ila nilisex siku ya hatari lakini kabla ya masaa 72 nilimeza p2 ila nilijisahau nikameza moja badala ya mbili.
Sasa nilisex tareh 4 mwezi huu ambayo ilikua ni siku ya hatari sasa hivi ilitakiwa niingie period tarehe 18 mwezi huu lakin mpaka leo sijaingia, ila nilienda kupima hospitalini siku tano baada ya kusex nikaambiwa sina mimba je hii itakuwa ni mimba ilijificha au ni dalili za period.