Msaada: Je, kuna magari ya kusafirisha maiti kutoka Dar - Mwanza

Emmathias

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
678
947
Habarini ndugu,

Tumefiwa na ndugu yetu ambaye alienda Dar -es -Salaam kwenye harakati za kimaisha, usiku wa kuamkia leo aliugua ghafla na kupelekea mauti yake.

Sisi ndugu tupo Mwanza tunajadili namna ya kuweza kusafirisha kwa bei nafuu. Naomba msaada kama kuna mtu anajua kampuni ya magari inayosafirisha maiti kuja Mwwnza anijuze.

Nitashukru sana kwa msaada wenu.
 
Poleni sana Mkuu, Njia rahisi na bei nafuu ni Usafiri wa Ndege, nenda Ofisi za ATCL upewe gharama haivuki 350,000/= maana hapo wanachaji pesa ya Mzigo.

Lakini ukihitaji gari utapata Coaster maeneo ya External Mabibo Hostel au Viwanja vya Kinondoni Biafra nk bei zao hazipungui Mil 1+
 
Kusafirisha Maiti Dar Mwanza kwa Gari Milioni Moja tu ?
Hope ni zaidi ya mara mbili ya hiyo hela.
 
Habarini ndugu,

Tumefiwa na ndugu yetu ambaye alienda Dar -es -Salaam kwenye harakati za kimaisha, usiku wa kuamkia leo aliugua ghafla na kupelekea mauti yake.

Sisi ndugu tupo Mwanza tunajadili namna ya kuweza kusafirisha kwa bei nafuu. Naomba msaada kama kuna mtu anajua kampuni ya magari inayosafirisha maiti kuja Mwwnza anijuze.

Nitashukru sana kwa msaada wenu.
Pole sana mkuu chukua ushauri wa mdau hapo juu kwa kutumia ndege gari ni gharama sana mkuu.
 
Asante sana mkuu, nimefuatilia kusafirisha kwa ndege kuna agent kaniambia malipo ni sh 1.7M pamoja na jeneza juu yake, ila tumeshindwa
Poleni sana Mkuu, Njia rahisi na bei nafuu ni Usafiri wa Ndege, nenda Ofisi za ATCL upewe gharama haivuki 350,000/= maana hapo wanachaji pesa ya Mzigo.
Lakini ukihitaji gari utapata Coaster maeneo ya External Mabibo Hostel au Viwanja vya Kinondoni Biafra nk bei zao hazipungui Mil 1+
 
Mkuu ni kweli inaweza kuwa 350,000/=? Maana kuna agent katuambia total cost ni 1.7M hivyo imekuwa ni gharama kubwa sana.
Poleni sana Mkuu, Njia rahisi na bei nafuu ni Usafiri wa Ndege, nenda Ofisi za ATCL upewe gharama haivuki 350,000/= maana hapo wanachaji pesa ya Mzigo.
Lakini ukihitaji gari utapata Coaster maeneo ya External Mabibo Hostel au Viwanja vya Kinondoni Biafra nk bei zao hazipungui Mil 1+
 
Poleni sana Mkuu, Njia rahisi na bei nafuu ni Usafiri wa Ndege, nenda Ofisi za ATCL upewe gharama haivuki 350,000/= maana hapo wanachaji pesa ya Mzigo.
Lakini ukihitaji gari utapata Coaster maeneo ya External Mabibo Hostel au Viwanja vya Kinondoni Biafra nk bei zao hazipungui Mil 1+
Ushauri mzuri,nadhani mtoa maada auzingatie
 
Kusafirisha kwa ndege gharama ni kubwa sana ila ni rahisi kama maiti pekee inaenda ni kama laki nane au millioni na kitu ila coaster pamoja na watu 25 ni kama milioni mbili na laki tatu gari inakaa siku tatu pia mnarudi nayo
 
Back
Top Bottom