Msaada: Je kampuni ya helping hands international ni ya kweli?

mr wilehard

Member
Jun 29, 2015
49
23
Wakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.

wamentumia hadi nyaraka za uhalali wao lakini bado wananitia mashaka sana. Wanakuwa wakali ukihoji sana na hats kwa akili nyepesi hiyo ni njia rahisi sana ya kupata fedha ambayo pia ni rahisi kuibiwa. wanatoa form za kujiunga kwa shling elfu 90.
IMG-20170613-WA0198.jpg
IMG-20170613-WA0198.jpg
IMG-20170613-WA0197.jpg
IMG-20170613-WA0199.jpg
IMG-20170613-WA0199.jpg
IMG-20170613-WA0198.jpg
IMG-20170613-WA0197.jpg
IMG-20170613-WA0199.jpg
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.

wamentumia hadi nyaraka za uhalali wao lakini bado wananitia mashaka sana. Wanakuwa wakali ukihoji sana na hats kwa akili nyepesi hiyo ni njia rahisi sana ya kupata fedha ambayo pia ni rahisi kuibiwa. wanatoa form za kujiunga kwa shling elfu 90.View attachment 523506 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508 View attachment 523508 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508
Waweke hadharani na mikataba tuione, ili tujuwe waliosaini na kilichomo ndani ya mikataba hiyo
 
Wakuu kwanza poleni na majukumu. naombeni kujua kuwa ni kweli hiyo campuni ya HELPING HANDS INTERNATIONAL imesajiljwa hapa Tanzania au ni njia ya kutuibia.

wamentumia hadi nyaraka za uhalali wao lakini bado wananitia mashaka sana. Wanakuwa wakali ukihoji sana na hats kwa akili nyepesi hiyo ni njia rahisi sana ya kupata fedha ambayo pia ni rahisi kuibiwa. wanatoa form za kujiunga kwa shling elfu 90.View attachment 523506 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508 View attachment 523508 View attachment 523506 View attachment 523507 View attachment 523508
UNAIKUMBUKA MISSION TO THE NEED

UNAKUMBUKA FOUNDER WAKE.....

NENDA MIKOCHENI NJIA YA COKEKOLA UKISIKIA PAMBIIOO NYINGI ELEKEA HUKO UNIJULISHE....NAPITA TU..JIONGEZENI PLS...MRADI WA WACHUNGAJI NA WAUMINI ZAO HUO
 
fafanua zaidi ndugu
 
Kwa nini usiwasiliane na mamlaka zilizotoa leseni zote hizo kwa ushahidi?
 
Mkuu huo upatu wewe una tia tisini kuitafuta sasa hayo mafanikio uanze kuwapigia magoti watu wote wajiunge nao
 
Hawana Ishu hao Wapumbavu sana Kwa Akili ya Kawaida Kweli Utoe 90 Kwa Ajili ya fomu Dhen Wakupe na wewe Fomu uizungushe kwa watu wakuchangie 90 ili Uwaunganishe Real Kwa Usawa Huu Nani Akupe hela yake Kirahisi Rahisi Hivyo Utasubiri Sana Use Your Brain

.."father G" the Golden Boy...
 
Kama umetoa ela umeliwa. Kama bado basi achana nao, pia una maamuzi ya kuliwa kwa kupenda. It's up to you to decide.
 
Back
Top Bottom