MSAADA: Je, hizi specifications za hii laptop itaweza kweli ku-run hizi program (Software)

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
491
189
Wakuu habari za muda huu. Nimeweka picha za specifications za hii Laptop. Naomba kujua, je Software zifuatazo zita-run kwenye hii pc.

Blender

Euro truck simulator 2

Adobe illustrator

Adobe aftet effects
Screenshot_20200208-073118.jpeg
Screenshot_20200208-073146.jpeg
Screenshot_20200208-073156.jpeg
Screenshot_20200208-073204.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo PC ita-run vizuri tu ila tukija kwa software moja-moja kuna mapungufu utayapata ukiwa uazitumia. Hiyo Blender sijawahi tumia ila Euro Truck Simulator 2 nilishawahi ku-play kwenye PC yenye RAM 6GB (1x 4GB & 1x 2GB) hivyo kwenye hiyo 4GB nina uhakika itacheza vizuri tu.

Kwenye hizo Adobe utapata tabu sana hasa kwenye ku-render video ukiwa unatumia hiyo Adobe After Effects. Ili kutumia hizo Adobe kwa ufanisi minimum unahitaji 8GB RAM. Ila kama unatumia kupiga kazi za muhimu unashauriwa kuwa na zaidi ya hapo. Pia hizi version mpya zipo updated na vitu vingi pia hivyo PC pia inapaswa kuwa very powerful.

Natumaini nimechangia vizuri kwa uelewa wangu.
 
Back
Top Bottom