miku
Senior Member
- Oct 24, 2011
- 148
- 185
Nimekuwa nikickia sana uwekezaji kwenye hisa lkn cna elimu yeyote khs hii biashara ya hisa,je naanzaje,napataje faida na mambo kadhalika.naomba mtu yeyote humu jamvini mwenye ujuzi khs hii biashara ya hisa za makampuni anipe walau mwanga kabla cjaingia ndani.