Msaada jamani.......!

miku

Senior Member
Oct 24, 2011
148
185
Nimekuwa nikickia sana uwekezaji kwenye hisa lkn cna elimu yeyote khs hii biashara ya hisa,je naanzaje,napataje faida na mambo kadhalika.naomba mtu yeyote humu jamvini mwenye ujuzi khs hii biashara ya hisa za makampuni anipe walau mwanga kabla cjaingia ndani.
 
Salaam,

Hisa (shares) ni kuwekeza ama kuwa sehemu ya umiliki wa kampun husika kulingana na kiasi cha hisa utakazokuwa umenunua. Kwa mfano, kampuni ikiwa na thamani ya 1billion, wewe ukaweza kuwekeza 550,000,000/= utakuwa mwenye maamuzi ya mwisho juu ya kampuni husika.
Faida za hisa huitwa gawio ambalo hupatikana kwa vipindi ambavyo mtakubaliana na wenye/mwenye kampuni ambapo faidaya kila mwezi/miezi mitatu/miezi sita au mwaka (Kadri mtakavyoona inafaa) hutolewa kwa kulingana na asilimia ya uwekezaji kwa kila mwanahisa. Kama umewekeza kwa 10% ya gharama za kampuni, basi gawio utakalopata litakuwa ni 10% ya faida yote ya kampuni kutoa administration costs.

Kila la kheri!!
 
Na mbona hizo hisa utakuta zinauzwa kwa gharama nafuu mfano hisa moja iliuzwa kwa Tsh 500/=apa imekaaje mkuu
 
Kwa kawaida gharama za hisa hutegemea mambo matatu;
1. Mzunguko wa biashara (Ina wateja wengi kwa kiasi gani)
2. Mtaji wa kampuni
3. Na ikiwa kampuni inataka kuwalenga watu wa aina gani.

Kwa mfano, Kampuni ikiwa na wateja wengi, na mzunguko wa fedha ni mkubwa, haiwezi kuuza hisa kwa bei chini ya 1200 na haiwezi kuuza shares zaidi ya 30% (Hii ni rule)
Pili ikiwa kampuni itaamua kuuza zaidi ya hisa 30% ni lazima ihakikishe gharama za hisa ni zaidi ya 5000 kwa hisa na mtaji wa kampuni (fiscal capital) si chini ya 1,000,000,000.
 
Na hapa pia si kutakua na kiwango cha kununua hisa i mean hauwezi kununua only 1 hisa
 
Back
Top Bottom