Msaada jamani.

Bornvilla

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
924
271
Nimenunua nokia 808 lakini haiplay online videos,pili kila ninapo download operamini inagoma kuwa suported. Naomba msaada wenu jamani.
 
Iyo simu ni majanga mi mwenyewe niliinunua na kila nikidownload applications haisapoti na wala haina store kama nokia store au ovi, imebidi nimpe dogolasi atumie
 
kwa opera nenda

m.opera.com

kuhusu online video play na app husika. mfano kama ni youtube download application ya youtube halafu tumia hio kuangalizia hizo video
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom