Msaada jamani

Gershom Asajile

New Member
Sep 27, 2012
1
0
Great thinkers naombeni mnisaidie jamani.
Nimlimaliza secondari mwaka jana nikapata div 4 ya 26.

English - c
bios - c
math- f
kisw- d
[phys- d
chem- d
geog- d
civ- d
history - d.

Shida yangu kubwa nimejaribu kuapply
vyuo vya afya na arusha tec nimekosa nafasi.
Je, nyie kama wadau wa elimu kwa hizo marks zangu hapo juu
nijaribu chuo gani kingine ambacho hadi sasa kinaweza kunipokea
siyo hadin mwakani kwasababu nimechoka kukaa nyumbani.


Nashukuru kwa kusoma ombi langu
naomba msaada wenu wa mawazo.
 
subilia mwakani kama una uwezo nenda vyuo vya private ila tatizo hapo walikubania bse f ya number! maana vi2 ulivyokuwa unaomba maths ni mpango mzima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom