Msaada jamani

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu naomba msaada wenu.

Nilikuwa niaangalia nyimbo(video) kwenye TV, kwakutumia deki. Kwakua sauti ilikuwa chini nilitaka kuongeza volume.

Sasa bila kuangalia nkabonyeza kitufe Cha channels, wakati Sina kingamuzi. Nilipotaka kurudisha ili niendelee kuplay muziki nimeshindwa, maana Sina remote ya TV.

Wakuu unawezaje kuchange kutoka channel ili TV ionyeshe maana sahivi inaonyesha mchelemchele.

TV Ni sumsung za zamani Sina Remote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom