Msaada Jamani

Officer2009

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
560
110
Simu yangu ya Samsung galaxy J7 ina tatizo la kupoteza memory ya sim card; na hii ni kwa sim card ya Halotel tu. Nimeweka picha hapo chini
Screenshot_20191016-214237.jpeg
 
Naombeni msaada jamani. Tatizo hili ni kwa simcard ya Halotel tu. Nimeshajaribu ku format simu lakini wapi, nilienda hadi Halotel Mlimani City na makao makuu ila nao ni kama hawajui tatizo hili linasababishwa na nini.
 
Jaribu to Manually select a network operator na test kwenye simu nyingine iyo SIM card
Cha ajabu kwenye simu nyingine inafanya kazi fresh kabisa wala haihitaji kuzimwa na kuwashwa,na pia nikiweka simcard nyingine kwenye hii simu inapiga kazi fresh bila kuhitaji kuzimwa na kuwashwa. Yaani tatizo lipo ninapoweka Halotel simcard kwenye hii j7
 
Mkuu ulinunua simu ya locked( ya mtandao moja) ? Ukiweka lain nyingine ikasoma bc ujue ni hvyo. Ili kujua kama ni ya kampuni hebu nenda setting-about phone
 
Itakuwa na vielelezo gani vitakvyofanya nijue kuwa ilikuwa ni locked?
 
Mkuu mimi pia ninapata tatizo kama lako natumia A30 na ni laini ya halotel ilikuwa 3g now niliiswap kwenda 4g hii ndo tatizo mwanzo nilihangaika sana kujua tatizo ni nn mbona ni kwa halotel tu na sio kwa laini nyingine?? Ilikuwa kila ikiji off laini nina izima kwa airplane mode na baadae naiwasha airplane inakuwa poa naendelea na maisha baada ya masaa kama 2 au 3 inajirudia tena

Basi nikakumbuka kuwa inawekena ni hii 4G yao wanayoitest kwa iyo haija kaa sawa ndio maana inasumbua baada ya kubadilisha kule kweny cm yangu network kutoka kusoma lte yaani 4g na kuweka 3g only inapiga kazi fresh toka siku hiyo sjaona hilo tatizo tena mpaka leo nilijuaje haya mke wangu pia nae anatumia halotel na ana simu ya Samsung ila yy hajabadili kwenda 4g ha hakuwahi kupata wala kulalamika tatizo hili so nikawa nmekumbuka hilo ndo nikajaribu kuitoa 4g kwenda 3g only tatizo ndo likaisha ila nikirudisha 4g tu lile tatizo linaibuka tena kwa iyo nadhani hilo tatizo linawatokea sana watu walio badili laini za halotel kutoka 3g kwe da 4g, na wameset kweny cm zao network ya 4g au lte pia waje watupe mrejesho wote wakiswap lain zao kwwnda 4g.
 
Niliset hivi now kwa iyo stumii 4g ni mwendo wa 3g nawe ukifanya hivi naamini tatizo lako litapotea kabisaa jaribu ulete mrejesho hapa. Mkuu
Screenshot_20191020-215505_Phone.jpeg
 
Ila iatabidi kuwataarifu halotel kuwa 4g yao ina hilo tatizo kwa wako ktk kutest mitambo wakifanyie kazi ili lisiwe kikwazo maana tunataka sana speed yao ya 4g
 
Back
Top Bottom