Msaada jamani!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
Habari wanajamvi!
Nahitaji anuani ya Ofisi ya Posta Dar. Maana kuna mtu anataka kuniagizia mzigo(from TZ to USA) ila kadai kuwa hajuwi ofisi hiyo ilipo!shukurani mbele
 
Inategemea wewe umefungulia SLP lako wapi; Oysterbay/ Ubungo/ Kisutu etc;

Quote SLP, Jina la Mtaa, Eneo, Jiji, Nchi .....e.g. P.O. Box 21122, Sokoine Rd, Oysterbay, Dar Es Salaam, Tanzania
 
yaani nahitaji local posta ya Kimara, Dar Es Salaam, TZ Natanguliza Shukurani! Sorry kuiweka hii mahali ambapo si pake!
 
Mkuu hili swali kama sijalielewa vile??

Anuani ya Posta?? What do you mean?? Maana navyojua mimi kuna process kibao ya kupanda sanduku la posta

Sasa wewe unataka anuani ya posta bila kuwa na sanduku lako au??

Sidhani kama kuna kitu kama hicho.

Ushauri:

Tafuta ndugu yako yoyote mwenye sanduku la posta anayelipia kwa mwaka kama 12,000Tshs hivi kama sijakosea utumie
Jackson Mapunda
C/O Michael Mrema
S.L.P. 76..........
DAR ES SALAAM

Hapo na hakika utapata mzigo wako kuliko kuhangaika nakutumia SLP ya posta BTW: Sijawahi kuona kitu kama hiki tangu nikue
 
Mkuu Dena nadhani hujanielewa vizuri. sitafuti anuani ya posta(P.O. Box) bali ni Ofisi ya Posta(Postal Office) iliyoko maeneo au karibu na Kimara. Kwani Posta Hawanaga maofisi? Thanx in advance!
 
ni lazima hiyo posta iwe maeneo ya Kimara?....
 
Sis Preta Si Lazima iwe maeneo ya Kimara! jamaa ni mkazi wa Kimara anahitaji ofisi yoyote ya Posta tu sehemu yoyote ile.Thanx
 
Habari wanajamvi!
Nahitaji anuani ya Ofisi ya Posta Dar. Maana kuna mtu anataka kuniagizia mzigo(from TZ to USA) ila kadai kuwa hajuwi ofisi hiyo ilipo!shukurani mbele

eRRy,

Mwambie kama anaishi Kimara, apande mabasi yanayotoka Kimara kwenda Posta ... Akifka Posta atelemke atembee hatua kumi tu tayari atakuwa Posta.. Aulizie sehemu ya Vifurushi ... Akutumie.. Akimaliza atatembea hatua kumi tu na kupanda mabasi ya Kimara Posta ... DONE

It will cost not more than 1,000/- kwa nauli plus gharama ya kutuma mzigo.

Siku njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom