Msaada jamani:Window Seven

tinya

Member
Jan 4, 2010
77
30
Nina laptop (Win 7 home premium) hapa alikuwa anaitumia mdogo wangu, sasa ikaanza kustack tu bila sababu. sasa nataka kubadilisha OS installation nayo inagoma ikifika kwenye expanding files inagomea hapo. Nifanyeje?
 
kama unaweka window xp wara nyingi jamaa huwa wanalock kwenye bios, inahitaji kuchange baadhi ya settings ili uweze kuendelea. Lakini kwanza uangalie uwezekano wa kupata drivers za os unayotaka kuweka kabla ya kuformat au ufanye repair.kama ni window7 au vista bora ubadili cd
 
mpya. alienda kununua dogo. Halafu hawakumpa eti cd hata moja.
Window ni Win 7 ultimate
 
kama unaweka window xp wara nyingi jamaa huwa wanalock kwenye bios, inahitaji kuchange baadhi ya settings ili uweze kuendelea. Lakini kwanza uangalie uwezekano wa kupata drivers za os unayotaka kuweka kabla ya kuformat au ufanye repair.kama ni window7 au vista bora ubadili cd

Hapo sijaelewa.
 
mpya unauziwa bila hata recovery cd mkuu? Anyway, hiyo hard disk yake ilikuwa na partition? maana kama hawajakupa cd hata moja inawezekana recovery system yake ipo ndani ya hard disk.
 
kuna partition ya recovery
sasa kama ipo hii ndo maana hata hawakukupa cd zake coz hii ndo kila kitu...linapotokea tatizo kama hilo unatumia hiyo recovery partition kuirudisha computer yako katika hali kama ile ilivyokuwa inatoka kiwandani (factory defaults) in terms of sotware lakini (usije ukadhani pc yako itakuwa mpya) ila window itakuwa mpya na original kama ilivyotoka dukani..sasa kuipata jinsi ya kuitumia inategemea na aina ya pc yako(dell,hp,toshiba) ila unaweza search online how to restore (your pc model) to factory defaults using recovery partition...ila kwa kukusaidia nyingi huwa zinaanza kwa ku press F8 mara nyingi wakati wa ku boot ili upate options ya ku select repair your pc( inakuja pamoja na zile options za safe mode ila unachagua repair your pc)then unafuata maelekezo(utajaza lugha, nchi na nini sijui huko) afu utafika mahali utatakiwa kuchagua options za ku repair computer yako...hapo unachagua restore from image ambayo yenyewe itaselect image ile ya factory default...ila ni vizuri upate info vizuri online maana steps zinatifautiana kwa kila aina ya pc..
 
Back
Top Bottom