Msaada jamani....wat should i do? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jamani....wat should i do?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mzabzab, Aug 22, 2011.

 1. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  i met a lady from an online chatroom and luckily she happened to live close by so we decided to meet up. well during our chats things turned a bit on the sexual side and she told me that she has a bf and i said am single but would like to have a sexmate. we continued to see each other and then started getting romantic, kissing and touching but we didnt have sex. it reached a point where i decided to try make an attenpt of sleeping with her but have to admit my skills do need polish and she thwarted my advances saying that am only after sex and that i don't love her which is true.

  in truth i am not looking for a serious relationship so i was not going to tie myself up though i have to admit i did try lying to her that i love her which i admit was a move made more out of desperation.(had only had sex once before meeting her and a yr had passed). it was evident to me that this was going nowhere so i decided to just ignore her, no contact from my side. it is always her that initiates contact and even though i have told her that am just interested in sex she still initiates contact. For the past one year we have not seen each other tho as i said she initiates contact. now i try to ignore her sms but for some reason i just find myself responding to them and i just cant stop thinking about her even tho i know she does not have the qualities i so desire in a gf nor is she willing to let me sleep with her since she does not wana be in a sexmate relationship. i asked her y she keeps initiating contact even tho she knows fully well that am more interested in sex with her and not anything else she says that its coz she likes me and just cnt forget abut me.

  so now am confused, my brain tells me that forget she wont sleep with u and u dnt love her but i just cnt stop thinking about her and i do miss her. so what should i do in this situation?
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mmmh....nilichoelewa hapo ni Jaani....hivi Jaani si ni....au mimi ndio sijui lugha ya taifa la Tanzania?.....
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Preta acha vituko mshauri mwenzio bana yuko desparate hajui afanyeje
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  nilikuwa nataka kuhakikisha kama nimeelewa vizuri neno JAANI...ili nije kijaani jaani.......he he he....
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br /> Ndiyo hivyo ulivyoelewa.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwamba ni......ooh no....JF haiwezi kuwa ndio hiyo bana.....
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hivyo hivyo ulivoelewa ila msaidie mwenzio anapata matatizo hajui afanyeje
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Preta acha vituko elewa hivyo hivyo ulivyoelewa ila mwenzio anahitaji msaada wa kusaidiwa matatizo yako yuko so confused
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,459
  Likes Received: 3,713
  Trophy Points: 280
  msaada wa kufanyaje......shule za kata bana
   
 10. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  ha ha dada Preta umehalibu post ya mwenzio, pls mpe ushauri
   
 11. R

  Rutatinisibwa Senior Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 22, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kama hautajali KAJITUNDIKE! nasema hivi maana kila kitu kiko wazi na kwa kuwa akili yako imeamua kukutosa (bila kukupa the way forward)
   
 12. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  i just cnt stop thinking about her and i do miss her

  Mkuu love huwa inaanza kama hapo juu nilipobold, huwezi kujisikia hivo kama haujali wala kuwa na feelings zozote,sijui uliangalia quality gani,but nahisia kabisa umeanza kumpenda huyo msichana, kama huna mpenzi just give it a try,anza kudate nae mengine yatafata

  Kwa wana jf wenzangu still bado sijaona tatizo la hii thread plz toeni ushauri, kuna thread zinaanzishwaga hapa na watu hazina mbele wala nyuma post hadi 300, acheni kujibu thread kwa kujuana au kubeza watu bila sababu, kuna thread kweli hata mtu akibeza unasema yeeees but hii, mwenzetu anahitaji comments zetu
   
 13. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  You are trending on a dangerous path my brother....think twice....
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya chat room,huwa yananitatanisha,maybe i'm wrong.ila naamini wanawake tuna fall kirahisi mno,kuliko wanaume.mzabzab,you never know,she may be the one for you.unaweza ukazunguuuuka,baadae ukarudi kwa huyo dada
   
 15. P

  Pejokiss Senior Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 165
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  As l get u,seriousl u already fall with her so northing more than to date her so if she wll be interested with u she gona open her heart for u coz on the other side she do lv u2 as the reason for her making contact wh u.then l thnk u get me budy an alwys try to listen ua heart!
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hawa wanapendana ila hawana hakika na wanachofanya wala wanachokitaka!!


  Naamini si muda mrefu watakuwa wanaongea lugha nyingine....Haiwezekani ku-miss mtu usiyempenda na pia mwanamke anayempenda mwanamume lazima ajifanye kama hampendi ili asije kuumizwa!!

  Nenda naye hivyo hivyo ila siku akili ikirudi kwenye mstari hutageuka nyuma...

  Tatizo la wanaume wengi ni kupenda picha za kwenye media bila kujua kuwa hizo zipo kwa ajili ya matangazo. Ni wanawake wachache walio tayari kuolewa wenye hizo quality za magazeti ya super stars and TV adverts!!
   
 17. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  sawa nimepata point zenu na yes it myt be true that i love this gal bila kujua mwenyewe lakini kuna ambo machache yananitatiza kuhusu kuanzisha ku-date huyu dada.

  1) will she bliv me kuwa kweli nampenda wakati nilishamwambia kuwa ie sitaki relationship kwa sasa?
  2) ata akinikubalia sii nitatumia muda mwingi wa relationship katika kuonyesha kweli nampenda ambalo litanifanya mie kama nipo kwenye kifungo
  3) mie sijawahi kuwa katika relation wala kuwa na gf, je natakiwa fanya nini ili niweze kumnasa?
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hbu tulia tu na huyo binti siku tu atakuelewa utakua unakula tunda kilaiiini
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Huna sababu ya kutumia nguvu hata kidogo kwa sababu inaonekana mapenzi yenu ni organic...Fanya vitu vidogo vidogo tu kwake eg...jibu sms zake kwa hisia na pia wakati mwingine mtafute wewe. Pia kumbuka kumpelekea zawadi ndogo ndogo kila unapopata muda na penda sasa kuwa karibu naye...Acha kabisa kuongelea sex bali ongelea jinsi ambavyo moyo wako umebadilika ghafla na kugundua kuwa unampenda kuliko ulivyokuwa ukifikiri...Pia mwombe msamaha kwa hisia kwamba ulimuumiza ila mpe ahadi kwamba hutamuumiza tena na live ur words...Mambo ya sex yaliyokuwa yanakusumbua yatakua kirahisi sana kiasi kwamba mwenye hutaamini!!
   
 20. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #20
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mzabzab... That is what is called falling in love... slowly and surely on your sides it seems.... Kitu ambacho hufanya watu wengi kukosa wapenzi ambao wanawafaa na a perfect fit katika maisha yao - ni vile viwango/qualities walizo jenga akilini mwao wa the type of lover/partner they want... Mara nyingi kila mmoja hua na tabia ya kua na a list of sifa kichwani ama rohohi kwake kua anataka mpenzi wa aina gani.... hio upelekea kwa watu wengine ku fall for the wrong people kila siku sababu tu anafuata vigezo (i.e usomi/uzuri/urembo/exposure/pesa/urefu/weupe n.k)... Such vigezo hupelekea kama mtu hajapata mtu wa viwango vyake (based katika speacial list yake) - akipata mtu wa kinyume na hio list; humtreat/mchukulia kama kipozeo... Which in some cases akifumbua macho na kuangalia afresh anakuta kua ndo perfect fit pamoja na kwamba hana hata moja katika his/her special list....
   
Loading...