MSAADA JAMANI(Software for Technical Drawing)

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
0
Habari wakuu wangu katika jamvi hili. Poleni kwa usumbufu ninaowapeni mara kwa mara, tatizo langu kubwa ni ugeni katika teknolojia hii ya kompyuta. Shida yangu ni kujifunza toka kwenu; kama kuna mtu anajua program mahsusi kwa ajili ya technical drawing ambayo archtectures huwa wanatuiaga katika kubuni michoro ya majengo, naomba anipe darasa. Nafurahi sana kutokana na msaada ninaoupata hapa jamvini, hivyo pamoja na kuwaombeni kwamba msinichoke napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wowote nitakao upata katika jambo hili. Nawatakia kazi njema. Asanteni.
 

hubiri b

Member
Sep 15, 2011
16
0
Mkuu nadhani autocad inaweza ikakusaidia..... kama upo dar unaweza ukawasiliana na mimi ili nikupe na video tutorial za namna ya kutumia
 

Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
0
Mkuu nadhani autocad inaweza ikakusaidia..... kama upo dar unaweza ukawasiliana na mimi ili nikupe na video tutorial za namna ya kutumia[/Thanks, sasa hivi niko Mtwara na nitakuwa huku mpaka Disemba. Nitacheki na wewe kwa PM ili tuone itakuwaje. Asante sana]
 

Kijiti

Senior Member
Apr 24, 2011
189
195
Wazee hapo mumetugusa wengi maana hata mie nilikua nahitaj hiyo autocad/archicad kwa shuguli za michoro.
Kama folder lake sip lubwa sana jaman naomba mimutumie via e-mail yangu: frankllynfrancistester@yahoo.com
of not possible through this way then lets chek another way guyz
 

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,631
1,250
Kama kuna ambaye ataitaji ebooks for AutoCAD for Dummies 2005 & 2007 anitumie email yake nami nitamtumia hivyo vitabu vipo kwenye format ya .pdf

email yangu ni: jjosy2000@gmail.com
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom