msaada jamani nimechoka na huu ugonjwa

Mr Mr

Member
Sep 25, 2013
34
8
Nina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa gani?
 
chemsha hayo maji,au yaache juani kwa muda kabla ya kuoga,the urudi ulete jibu hapa
 
Nina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa gani?

Pole mkuu Mr Mr,tatizo lako ni allergy na tulishalijadili hapa jamvini,hebu jaribu ku search utapata jibu japo tuliowashauri hawarudisha feedback!
 
Last edited by a moderator:
Nina ugonjwa siku nyingi sasa yani nikimaliza kuoga kama dakika 2 mwili wote unaanza kuwasha najikuna hadi nusu saa baadae unapoa. Nimetumia dawa za aleji lakini wapi naombeni msaada nitumie dawa gani?

Nunua sabuni inaitwa TETMORSOL cover yake ni yanjano ina kipicha cha docta amevaa miwani. Hii sabuni ni kiboko ya muwasho na fungus binafsi nimeitu mia na imenisaidia. Inapatikana maduka ya dawa bei around 2500 - 3000
 
Huyo ana tatzio kama Langu...! Nimezunguka sana dawa zote nimetumia wapi! Ila hebu tujaribu kutumia Albart soda inapatikana maduka ya dawa asili... Hiyo ni namb yangu mhanga mwenzio

0657 230355

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom