Msaada jamani: Nifanyeje ili nipate namba za kuthibitisha WhatsApp yangu?

shylock

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
795
1,325
Wakuu poleni na hongera zenu kwa ujenzi wa taifa.

Mimi shida yangu ni

Nipo nje ya nchi sasa yapata mwaka na nusu. nilikuwa natumia whatsapp vizuri tu bila shida ila juzi nimeifuta kwa bahati mbaya. Laini haipo hewani haina mtandao nitafanyaje nipate zile 6.-digits ni verifying. ....
IMG-20200509-WA0009.jpg

Sent using myLG leon
 
Zimetumwa kwenye namba yako Fanya line ipatikane utapata msimbo kupitia SMS zakawaida
 
Zimetumwa kwenye namba yako Fanya line ipatikane utapata msimbo kupitia SMS zakawaida
Laini ninayo huku na haina mtandao nadhani Tcra waliifungia maana mlipokuwa mnasajiri upya kwa alama za vidole sikuwepo Tanzania. Nami kurudi ni mpaka mwezi wa kumi mwaka huu

Hata kama imefungiwa sms inapokea na kutuma.
Wanafungia calls na huduma za kifedha tu.
Tafuta mtu huku aiswap then akutumie hizo 6 digits

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom