MSAADA JAMANI NI KUHUSU CAPTCHA

Inategemea na CAPTCHA inaleta ujumbe gani ishu sio kujaza vibox vyote soma maelezo inaweza kukuletea magari, nyumba alafu ikaleta ujumbe uchague magari tu, ukimaliza submit ni rahisi tu hii wanaitumia ili kuhakikisha mtu anayetumia huduma husika sio robot
 
Pale wanaandika tiki labda alama za balabalani unafanya ivyo alafu inakuja tena tiki labd unakoona kuna alama ya mgahawa ivyo unafany easy tu mpak unamaliza
 
Back
Top Bottom