Msaada jamani, naumwa na kichwa

test man

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
1,010
946
Mimi nasumbuliwa na kichwa na mwili unachemka sana na hata nguvu sina, hili tatizo limeanza Muda mrefu, nimehangaika hospital kubwa kila nikipima majibu yanakuja sina tatizo na mimi najiona naumwa sasa, nimekosa cha kufanya kwa kweli. Mimi natumia bima ya afya.

jamani naombeni msaada nikapime kipimo gani?
 
mm nasumbuliwa na kichwa na mwili unachemka sana na hata nguvu sina hili tatizo limeanza Muda mrefu nimehangaika hospital kubwa kila nikipima majibu yanakuja sina tatizo na mm najiona naumwa sasa nimekosa cha kufanya kwa kweli mm natumia bima ya afya jamani naombeni msaada nikapime kipimo gani daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah?
Kafanyiwe maombi mkuu, kama unaamini katika maombi
 
Mkuu kama upo dsm nenda clinic ya macho ya private ipo shoppers plazza msasani ni ya wahindi..nadhani ni vision plus...

pale wife alipona kichwa kilichotuhangaisha mpaka muhimbili kwa wataalamu Neuro surgeon na ma ct scan ya kichwa lakini wapi...

alikuwa analia Kama mtoto mdogo ni wa kulala kitandani tuu...ila mungu si athumani hata alivyopona sikuamini.

Wale wahindi ni wazoefu na balaa...wana mitambo mpaka unaogopa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom