Msaada jamani namna ya kuseti frequency kwenye dish

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
habari zenu wanatechnology ninaomba msaada wenu wa namna gan ninaweza kuset upya frequency za kwenye dish. kwan kwa hivi sasa ninashika channel tatu tuu yaan ITV,CHANNEL 5,CAPITAL na Mara moja moja sana STAR TV je nifanyeje maana mara ya kwanza nilikuwa ninashika channel zote zinazoonekena kwenye DISH LA SATELAITE karibu zote. baada ya kudondoka na kumwaita mafundi kila siku naona wananila pesa maana huyu anaonyesha nato kesho hazionyeshi mwingine anaonyesha tatu ananila pesa anaondoka. je nifanye nini maana na mimi ninauelewa wa haya mambo ya computer japo kuwa ninajua waz kuwa computer na signal haviingiliani sana nisaidien waungwana nifanyeje?
ninatanguliza shukuran zenu nyote
 
kwanza pole kwa yaliyo kukuta. Pili hii kitu hulali na kuamka then ukajua. Au eti ule theory badala ya practicle then utegemee utaweza. Tatu, inategemea na eneo ulilopo,kama uko karibu na minara, then nguvu ya kunasa itakuwa ndogo sana. Nne lnb power yako imekaaje? Then mwisho kabisa ,tafadhali ridhika na izo nne, au tafta fundi wa kuaminika maana ukiingia mwenyewe,na hzo ulizo nazo utazipoteza. Ni hayo 2.
 
Kama hilo dish limehanguka na likapinda kidogo au sana basi usihangaike tupa nunua lingine utamaliza pesa zako kwa mafundi. Tv za bongo zinaitaji signal kubwa dish ikipinda kidogo zinagoma kuingia
 
Back
Top Bottom