MUREFU
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,331
- 350
habari zenu wanatechnology ninaomba msaada wenu wa namna gan ninaweza kuset upya frequency za kwenye dish. kwan kwa hivi sasa ninashika channel tatu tuu yaan ITV,CHANNEL 5,CAPITAL na Mara moja moja sana STAR TV je nifanyeje maana mara ya kwanza nilikuwa ninashika channel zote zinazoonekena kwenye DISH LA SATELAITE karibu zote. baada ya kudondoka na kumwaita mafundi kila siku naona wananila pesa maana huyu anaonyesha nato kesho hazionyeshi mwingine anaonyesha tatu ananila pesa anaondoka. je nifanye nini maana na mimi ninauelewa wa haya mambo ya computer japo kuwa ninajua waz kuwa computer na signal haviingiliani sana nisaidien waungwana nifanyeje?
ninatanguliza shukuran zenu nyote
ninatanguliza shukuran zenu nyote