Msaada jamani. Nakosa raha na hii Laptop aina ya Lenovo Thinkpad T420 (Core i5)

mkuu, shukrani. Nimefanikiwa na game ETS2 now inafunguka na knacheza. Ila some time kama ina stack stack hivi. Je sababu inaweza kuwa ni memory ?? maana memory imeback 5 GB tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Storage? Vyema iwe free space kubwa kidogo.

Ikiwa inastack fungua task manager then angalia ni storage, ram ama cpu ambayo inakwamisha
 
Back
Top Bottom