Msaada jamani. Nakosa raha na hii Laptop aina ya Lenovo Thinkpad T420 (Core i5)

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,230
2,000
mkuu, shukrani. Nimefanikiwa na game ETS2 now inafunguka na knacheza. Ila some time kama ina stack stack hivi. Je sababu inaweza kuwa ni memory ?? maana memory imeback 5 GB tu.Sent using Jamii Forums mobile app
Storage? Vyema iwe free space kubwa kidogo.

Ikiwa inastack fungua task manager then angalia ni storage, ram ama cpu ambayo inakwamisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom