Msaada jamani miaka26 sina nachomiliki na sina muelekeo

Status
Not open for further replies.
Dogo anza na ubuyu wa znbr, visheti pamoja na karanga,... Ukiweza funga na viungo kama mchai chai, tangawizi na dalasini

Ubuyu plastic (ndoo) ya Lita kumi unauzwa 25,000...ukiweka kwenye package unapata package 50...kila package ni 1500..
Funga karanga zilizomenywa vzr, na viungo..
Pambana kwa bidii,... Hutajuta... But lililo la muhimu sana... IPENDE KAZI YAKO.
 
Natamani sana kufanya hiyo na kuuza viatu vya mtumba,tatizo mtaji
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom