Msaada jamani....maumbile ya SI

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wana MMU poleni na shughuli za kila siku ..
naombeni msaada jamani...
kuna tatizo ambalo nilikuwa sijui kuwa ni tatizo kwa sababu mimi mda wote nilikuwa nipo comfortable with this japo nilikuwa nishawahi kupewa malalamiko mara kwa mara lakini sikujua kuwa ni issue ambayo inahitaji u serious wa hali ya juu
issue yenyewe ni kuwa mchumba wangu kila mara nikitembea naye huwa analalamika sana anadai kuwa maumbile yangu ni makubwa ..sikuwahi kufikiri kuwa hili ni tatizo ..(kumbe kwenye uhusiano kuna mambo mengi sana)...mimi mda wote nilikuwa okey with my thing(**)...but huwa naona ninavyomuumiza mchumba wangu na mara nyingi najikuta namuingizia nusu tu na kutokana na anavyolalamika anadai anaumia inabidi tuache ..mara nyingi namuandaa vya kutosha sana .....lakini huwa anaumia....
nimemwambia anitafutie dawa ya kupunguza ukubwa ila yeye anadai niiweke pete..siwezi kuweka pete...kuna kipindi tulifanya kwa mda mrefu i mean wote tulikuwa na mzuka sana ..but aftre that aliumwa mda zaidi ya one week ..alikuwa analalamika tu maumivu...
ninachoomba ni kuwa nifanyeje?..au huyu dada hanipendi?..mbona ex zangu wote walikuwa wananiambia kuwa dude langu kubwa lakini walikuwa hawalalamiki maumivu?

na je wadada mnapenda dude kuwa au vibamia?......mpaka sasa hivi sijaelewa
thankx
 
Kidogo kidogo tu atakua nayo. Bora iwe kubwa akikua itamtosha kuliko iwe ndogo akikua impwaye. Wengi wa wadada hasa kama sio wazoefu wa ngono wanaumia mwanzoni wanapokutana na wanaume wenye maumbile makubwa lakini baadae wanazoea. Cha muhimu jitahidi tu kwenda nae polepole, usianze kuonyesha maufuuundi...
 
asante sana mkuu Tuko ..nimekupata vizuri sana ubarikiwe ndugu..na ushauri wako sitauacha..
viva JF
 
Haya Bwana Mtakatifu, mi nakushauri mpe dozi taratibu taratibu kisha atazoea, lakini ujitahidi uoe mkuu maana, wenye zakari zakutisha ni wachache sana hivyo wale ma ex gf wako unakuwa umeshawaaribu maana inakuwa ngumu kupata mwenye size kama yako hivyo unawafanya vibamia kuogelea ktk bahari.
 
hapana mkuu ile kitu huwa inarudi
 
Kiukweli msikilize mpenzi wako kama anasema anaumia jua ni kwelo anaumia. Halafu elewa wanawake kama ilivyo wanaume nao wanamaumbile tofautoia tofauti hivyo huenda huyo mchumba wako yuko tofauti na hao waliotangulia aisee. Kuhusu wanawake kukujibia hilo swali lako kama vibamia au laa hutapata majibu yatakayokusaidia na huyo mchumba ako. Kaeni chini mkubaliane kama uweke pete sawa maana standard ya dhakari ni 5 - 6inch.
 
asante sana mzee wa rula
 
Aah! leo rafiki umekuja kwa gia hii ? usijali unaweza kupata mmoja aliyevutiwa na thread yako lakini isije kuwa tofauti ukasonywa bure hahaha!

BACK TO THE TOPIC: bwana maumbile yapo tofauti mwenye kubwa atapata mwenza mwenye kubwa na mwenye ndogo atapata mwenye ndogo,ndio maana napinga hii dhana ya eti msifanye mpaka siku ya honeymoon matokeo yake karaha badala ya raha.
Kuna rafiki yangu mwenye kibamia alisumbuka sana lakini mwishowe alipata mwenye ndogo ambaye nae alikuwa anaumizwa kila mara na wakina Ivuga na sasa wameoana wana furaha tele.
 
uporoto01
Du.............................. makubwa! I never knew guys do infact discuss biolojia zao with one another. I was always under the impression that mnaoneana noma.

Saint Ivuga
Since you by your own words umeshashuhudia mpenzi wako akiumwa for a week or so, baada ya nyie kufanya mapenzi, shouldnt you at least give the suggested ring option a chance?Apart from selfishness,"Nimemwambia anitafute dawa.............." as if this is her fault/issue only, kwani exactly what do you have against kuvaa hiyo pete? Please educate me!
 
Mtakatifu Ivuga huyu ndio yule mchumba uliyekuwa unalalamika kipindi fulani anachuliwa na rafiki yako? Au ni yule wa kihindi? Au ni lile jini la mahaba?
 
uporoto01 Du.............................. makubwa! I never knew guys do infact discuss biolojia zao with one another. I was always under the impression that mnaoneana noma
Nemo biolojia ni muhimu sana kwenye mahusiano nami ni mwanaharakati wa swala la kujaribu kabla ya ndoa ili kujua uwiano wa maumbile sio siku ya siku mmoja au wote mnajuta na mmeshachelewa,kila binaadamu atapata wa saizi yake hamna suala la 'atazoea' au 'mvumilie tu si mmeo/mkeo'.
 
Aah! leo rafiki umekuja kwa gia hii ? usijali unaweza kupata mmoja aliyevutiwa na thread yako lakini isije kuwa tofauti ukasonywa bure hahaha!

BACK TO THE TOPIC: bwana maumbile yapo tofauti mwenye kubwa atapata mwenza mwenye kubwa na mwenye ndogo atapata mwenye ndogo,ndio maana napinga hii dhana ya eti msifanye mpaka siku ya honeymoon matokeo yake karaha badala ya raha.
Kuna rafiki yangu mwenye kibamia alisumbuka sana lakini mwishowe alipata mwenye ndogo ambaye nae alikuwa anaumizwa kila mara na wakina Ivuga na sasa wameoana wana furaha tele.
haha h....mkuu uporoto hii sio ya kutunga ni kweli ...
bck to the topic: mimi mwenyewe dhana ya honeymoon sitaki kuisikia ...kula tunda ni muhimu kwanza
 
uporoto01
Du.............................. makubwa! I never knew guys do infact discuss biolojia zao with one another. I was always under the impression that mnaoneana noma.

Saint Ivuga
Since you by your own words umeshashuhudia mpenzi wako akiumwa for a week or so, baada ya nyie kufanya mapenzi, shouldnt you at least give the suggested ring option a chance?Apart from selfishness,"Nimemwambia anitafute dawa.............." as if this is her fault/issue only, kwani exactly what do you have against kuvaa hiyo pete? Please educate me!
nimeongea tu hivyo lakini sikukmaanisha selfishness...and im not that against to wear that pete ...i jus dont think that its comfortable to move around and hanging around with pete.
 
Mtakatifu Ivuga huyu ndio yule mchumba uliyekuwa unalalamika kipindi fulani anachuliwa na rafiki yako? Au ni yule wa kihindi? Au ni lile jini la mahaba?
huyu ni wife to be..wale wengine wote hawakuwahi kulalamika..
 
mtakatifu,nakusalimia tu. nakutakia wiki njema yenye mafanikio (sina hakika kama sala yangu ina_include hii shida yako)
 
asante sana...kila kitu kiko poa...mbona avator umeibdilisha? style ya aden rage hio ya masilaha silaha bibie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom