Msaada jamani; line 1 ya simu yangu haisomi

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Sim yangu aina ya Tecn-w3 imejifunga simcard no 1,nimejaribu kuingia kila eneo kwenye settings lakini nimeshindwa kugundua tatizo ni nini,airplane, mode zimefungwa,lakn line 1 haisomi,naombeni msaada
 
KWENYE DUAL SIM MANAGEMENT VIPI UMECHEKI??
Mkuu Joseverest naomba basi NAFASI Bro...!!

Kila nikijitahidi niwe first to reply, nakuta ushafika mwenye nafasi yako...!

Duuh...! Itanibidi nitumie mbinu za "KIVETINAMU"....

Nita-login katika Simu mbili + two Laptop, then nawapa vijana wangu kazi ya ku-refresh in every 3 second, hopefully, UTAISOMA NAMBA NDUGU YANGU...
 
:D:D:D:D
 
Ahahaha sawa mkuu..kila la heri
 
Sim yangu aina ya Tecn-w3 imejifunga simcard no 1,nimejaribu kuingia kila eneo kwenye settings lakini nimeshindwa kugundua tatizo ni nini,airplane, mode zimefungwa,lakn line 1 haisomi,naombeni msaada
Vp ukiiweka kwny cmu nyingne inasoma au? Afu jaribu na kueka chip nyingne......inaezekana tatzo ni pins za cmu or cm card yenyew! Bt ol the best mkuu
 
Sim yangu aina ya Tecn-w3 imejifunga simcard no 1,nimejaribu kuingia kila eneo kwenye settings lakini nimeshindwa kugundua tatizo ni nini,airplane, mode zimefungwa,lakn line 1 haisomi,naombeni msaada[/QUOTE

Simu zenye line 2 zina option ya SIM CARD MANAGEMENT hapo pana kila kitu
 
Back
Top Bottom