Msaada: Jamani kwa anayejua tiba ya ugonjwa wa moyo

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaidi natokea kwenye familia maskini ambayo haiwezi kunipeleka India.

Sasa kwa yeyote anayefahamu dawa naomba anitajie ili nijaribu kutumia yaan huwa unanibana sana hasa kwa kipindi ninachokuwa na mawazo au hasira!

Asanten sana. Nawasilisha
 
Umejaribu kwenda hospital kupata vipimo vya mwanzo.....?....moyo ndo uhai ujue......
 
Kuna kitengo kipya cha Moyo pale Muhimbili, umeshakwenda? ni cha kisasa kabisa na wataalam wapo.
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaid natokea kwenye familia maskin ambayo haiwez kunipeleka india sasa kwa yeyote anayefaham dawa naomba anitajie ili nijaribu kutumia yaan huwa unanibana sana hasa kwa kipindi ninachokuwa na mawazo au hasira! aksanten sana. Nawasilisha

ugonjwa wa moyo umekuanza lini?? unatumia dawa zozote?
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaid natokea kwenye familia maskin ambayo haiwez kunipeleka india sasa kwa yeyote anayefaham dawa naomba anitajie ili nijaribu kutumia yaan huwa unanibana sana hasa kwa kipindi ninachokuwa na mawazo au hasira! aksanten sana. Nawasilisha

Nilijaribu kwenda bugando pale

Hawakukupatia dawa? Kama walikupa ulimaliza dozi? Ulienda kumuona tena daktari kabla hujaja hapa?
 
Nilijaribu kwenda bugando pale

Chukuwa referral huko Bugando uende Muhimbili, kuna kitengo kipya kabisa cha matatizo ya moyo ni kizuri sana, kuna mitambo ya kisasa na wataalam waliobobea kwa magonjwa ya moyo.

Ahsante Kikwete.
 
Hakifanyi kazi kishahujumiwa.
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaidi natokea kwenye familia maskini ambayo haiwezi kunipeleka India.

Sasa kwa yeyote anayefahamu dawa naomba anitajie ili nijaribu kutumia yaan huwa unanibana sana hasa kwa kipindi ninachokuwa na mawazo au hasira!

Asanten sana. Nawasilisha

kama wewe ni maskini saaana.

1. Kula aspirin moja kila siku

2. Usile ndizi

3. HAKIKISHA HAUWI NA MAWAZO MENGI NA KATAA KABISA KUKASIRIKA! TAFADHALI SANA NARUDIA USIACHE KITU AU MTU AKAKUSARISHA!

Fanya hayo matatu na Utaishi maisha marefu sana.
 
Back
Top Bottom