Kapige kitabu corse nzuri tu application yake ipo kubwa sana.msaada jamani kuhusu hii kozi kwa aliekuwa anaisoma au anaeisoma au anaejua chochote kuhusu hii kozi
vp inahusika vipi na mazingira ??
unafanyakazi sehemu zipi ??
je inawezekana kujiajiri??
na je inatofauti gani na env. science??
shukrani wadau.