Msaada jamani jinsi ya kufungua blog

Nizzoh824

JF-Expert Member
Apr 27, 2016
239
140
Habari zenu jaman

Kama title inavyo eleza naomba kwa mwenye uelewa na ili jambo anisaidie, nikimaanisha ni vitu gan vinatakiwa na hatua zipi zinatakiwa kufuata kama nataka kufungua blog hususani ya burudani.
 
Back
Top Bottom