Msaada jamani. Jinsi ya kuachana na jambo la Mazoea

Keben

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
725
173
Salaam kwenu wanajukwaa. Nimekua addicted na mchezo wa kubahatisha wa bonanza kiasi cha kuhatarisha uchumi wangu. Hii hutokana na kila ifikapo kuanzia saa 12:00 jioni sina cha kufanya kiasi cha kushawishika kujumuika wa Watu katika mchezo huu. Siwezi kukwepa kutokuwepo maeneo hayo maana mji ni mdogo. Msaada cha kufanya jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta kitu mbadala mkuu kama kutumia muda mwing na mkeo kama umeoa au kama bachela tafuta hobi nyingine kama kucheki muvi n, k
 
Nenda kwa MUNGU yeye huwa hashindwi kitu atakusaidia na hili kwake Ni dogo Sana kuliko unavyofikiri
 
Back
Top Bottom