Msaada jamani huu ugonjwa unaitwaje kitaalamu na matibabu yake yakoje

aende Hospital za Maana zenye vipimo stahiki..

aonane na daktari wa Afya ya kinywa..

akianza dozi Miswaki aliyokuw akitumia aiache atafute mwingine.

mwisho amtegemee Mungu kwa kila jambo.
Ilitakiwa umpe ushauri huo sasa, siyo kuzua hoja nyingine.
 
Back
Top Bottom